You are currently viewing Nafasi Za Masomo

Nafasi Za Masomo

Perfectway Nursery School inakutangazia Nafasi za masomo na Malezi ya Kutwa (Pre-school & Day Care) kwa mwaka wa 2024 kuanzia miaka 3-5, Huduma zetu ni nzuri sana kama vile: Mazingira mazuri ya kusomea, Lishe Bora, Michezo ya watoto, walimu waliobobea,walezi wazoefu, usalama wa watoto, Usafiri wa uhakika na matumizi ya Tehama, karibu sana uwasiliane nasi.

Leave a Reply